Amos 2:12-13

12 a“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo
na kuwaamuru manabii wasitoe unabii.

13“Sasa basi, nitawaponda
kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka.
Copyright information for SwhNEN